Siku moja
mbweha na chui walizozana kuhusu nani kati yao alikuwa mzuri kuliko
mwenzake. Chui alijinadi kwa kumwonyesha mbweha moja baada ya jingine
madoa yaliyoipamba na kuipendezesha ngozi yake. Na kweli ukimwangalia
Chui na madoa yake alionekana mzuri anayevutia.
Lakini mbweha
naye alimkatiza kwa kusema, “hivi ni nani mzuri kati yako wewe, na
mimi ambaye sijapambwa ngozi bali nimepambwa roho?”
Chui akaduwaa.
Hadithi hii
inatufundisha nini?
1……………………………………………………………………………………………………………………
2……………………………………………………………………………………………………………………
3……………………………………………………………………………………………………………………
Taja methali, nahau au
msemo wa Kiswahili wenye maana inayofanana na maudhui ya hadithi
hii;
………………………………………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………………………………………
0 maoni:
Chapisha Maoni