
Tafsiri ya Kiswahili ya hadithi kali za kipelelezi za mwandishi Mwingereza Sir Arthur Conan Doyle (May 22, 1859 - July 7, 1930) zitaanza kukujia hivi karibuni kupitia blog hii pekee.
Zimetafsiriwa na mwandishi Issa Kanguni.
USIKOSE!!
Hadithi za kale zenye mafundisho za Esopo zilizoandikwa zaidi ya miaka 3000 iliyopita. Zimetafsiriwa kwa Kiswahili na Issa S. Kanguni, chini ya shirika lisilo la kiserikali la Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC). Tel; +255757242960
0 maoni:
Chapisha Maoni